Header Ads

Header ADS

Picha: Makamu wa Rais Akutana na Naibu Rais Ruto na Kufanya Mazungumzo


Picha: Makamu wa Rais akutana na Naibu Rais Ruto na kufanya mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala nchini Uganda ambapo kuna mkutano wa Africa Now Summit 2019.





No comments

Powered by Blogger.