Header Ads

Header ADS

Nyumba (pagala) inauzwa bei Nafuu: Mapinga

Nyumba (pagala) inauzwa bei Nafuu: Mapinga
Nyumba iko mtaa wa Mtambani Mapinga Mkoa Pwani, km 1 kutoka main road (Bagamoyo Road).
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master, sebure, dining, kitchen na public toilet.
Kiwanja chake kina ukubwa wa sqm 400 na iko mtaa uliopangwa mzuri wenye umeme, maji, barabara na majirani wa maana.
Mwenye hela ya haraka awahi kuokota hii nyumba kwa bei ya tsh 15 milion tu
Call 0758603077

No comments

Powered by Blogger.