Header Ads

Header ADS

Mashabiki Mitandaoni, Wamshambulia Harmonize Kuhusu Hali Duni ya Madhingira ya Nyumbani Kwa Mama yake

Mashabiki Mitandaoni,  Wamshambulia @Harmonize_tz , wamtaka Apunguze Show off ya kumiliki Mabodi gadi wa 4 , Badala yake wamshauri Amjengee mama yake bati chooni na Arekebishe Mazingira ya Nyumbani yawe mazuri.

Picha nyingi  zinaonyesha nyumba anayoishi mama yake haipo katika madhingira mazuri

No comments

Powered by Blogger.