Header Ads

Header ADS

Hip Hop Inalipa..Msanii Rosa Ree Anunua Gari Mpya


Msanii wa Kike wa Hip Hop Tanzania Rosa Ree amenunua gari aina ya BMW Baada ya Kupiga mitonyo mirefu kutoka na Show anazofanya Sehemu mbali mbali

Akiongea na mwandishi wetu Rosa Ree amesema gari hilo lenye thamani ya sh milion 20 amenunua kutokana na madeal yake ya mziki na si vingine

Rosa Ree hivi karibuni alipata deal nono la kushirikishwa kwenye nyimbo ya Qeen Latifa kutoka marekani wimbo ambao ulikuwa maalum kwa ajili ya siku ya Wanawake Duniani.




No comments

Powered by Blogger.