Header Ads

Header ADS

Simba yamsajili Yusufu Mhilu





Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Yusufu Mhilu aliyekuwa kikosi cha kwanza kilikuwa kinashiriki Cecafa Challenge 2021 U 23.

Leo Agosti 4 ametangazwa rasmi kuwa mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano na timu ya Simba.

Amepewa dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes. 



No comments

Powered by Blogger.