Header Ads

Header ADS

Mkubwa Fella Atoboa Ukweli "Chege na Juma Nature Waligombana Kisa Mwanamke'


"Hakuna haja ya kuficha, hawa Tatizo Lao lilianzia kwa Mwanamke . @chegechigunda alikua na mwanamke wake, ambae baadae alikuja kumpenda @sir_nature kwasababu ndio alikua msanii mkubwa. Nature akajikuta amezama na kumuoa yule Mwanamke " - @mkubwafellatmk




No comments

Powered by Blogger.