Header Ads

Header ADS

M-Pesa na LATRA Waja na Tiketi Mtandao, Abiria kulipia nauli kwa simu




Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara, Happiness Shuma akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tiketi Mtandao, itakayowezesha abiria wa mabasi  ya masafa marefu kulipia nauli zao kielektroniki kupitia simu zao za mkononi kupitia App ya Tiketi Mtandao na pia kwenye menyu ya M-Pesa. Mkutano huo uliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini  (LATRA).


Mkutano ukiendelea.


No comments

Powered by Blogger.