Header Ads

Header ADS

COVID-19 : Misri kuwachanja wazee na wenye magonjwa sugu





Misri imepanua utoaji wake wa chanjo ya virusi vya Corona Alhamisi kuwajumuisha wazee na watu wenye magonjwa sugu baada ya wiki kadhaa za kuwapa chanjo ya wafanyakazi wa afya, baraza la mawaziri limesema.


No comments

Powered by Blogger.